Nyumba ya Wachagga

Jifunze / Kivunjo / Lesson 1

Greetings & first words

The essentials you will hear in every Vunjo home.

0/16 umejifunza
  1. Shimbonyi?

    Habari za hapa?

    How are things?

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  2. Nashicha uĝambe shapfo?

    Nzuri, na habari zako?

    Fine, and how about your news?

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  3. Nashicha

    Nzuri.

    Fine.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  4. Shimbonyi sha ngamenyi?

    Habari za asubuhi, u hali gani?

    Good morning, how are you?

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  5. Nashicha kapisa, aika, ungiwie shapfo?

    Nzuri sana, asante, na wewe je?

    Very well, thank you, and how are you?

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  6. Ngimcha kapisa.

    Mimi ni mzima kabisa.

    I am very well.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  7. Njoo, lukuloshe KiChaka.

    Njoo, tujifunze Kichagga.

    Come, let's learn Chagga.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  8. Aika.

    Asante.

    Thank you.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  9. Aika mnu.

    Asante sana.

    Thank you very much.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  10. Nakopfo.

    Kwaheri.

    Goodbye.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  11. Ĝamba se kimbuo.

    Tafadhali sema tena polepole.

    Please say that again slowly.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  12. Ngiichipfo.

    Sijui.

    I don't know.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  13. Wesa iswali lingi.

    Uliza swali lingine.

    Ask another question.

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  14. Yee

    Ndiyo

    Yes

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  15. Ote

    Hapana

    No

    Bado hakuna sauti — wazungumzaji wanaweza kuiongeza kupitia Changia.

  16. Tafadhali

    Tafadhali

    Please