Nyumba ya Wachagga
Nyumba ya Wachagga crest

Vijana wa Kichagga · Kivunjo

Jifunze Kivunjo

Lugha ya Marangu · Kilema · Mamba · Mwika · Kirua Vunjo

Salamu, maswali na majibu, namba na mazungumzo — 312 misemo ya Kivunjo kutoka kwa wazee wetu, tayari kujifunza kwenye simu yako.

Unapanda Kilimanjaro? Jifunze salamu wanazotumia waongoza njia →

Kimachame, Kikibosho na Kirombo zinakuja — tunatafuta wazungumzaji. Changia sauti yako.

Lahaja

Utamaduni

Inavyokua

  1. 1 · Wazee record

    Wazee wanasema maneno, methali na hadithi kwa lahaja yao.

  2. 2 · Vijana transcribe

    Vijana wanaandika na kuongeza Kiswahili na Kiingereza.

  3. 3 · Wahakiki verify

    Wazungumzaji wawili wa lahaja hiyo wanathibitisha kabla ya kuchapishwa, na chanzo kinatajwa.