Wadhamini
Dhamini lahaja, dhamini kizazi
Biashara za Kichagga zilijenga Kilimanjaro. Nyumba ya Wachagga inawapa wateja wako — vijana wa Kichagga nyumbani na ughaibuni — sababu ya kukukumbuka kila wanapojifunza neno la kwenu.
Mdhamini wa Lahaja · Dialect Sponsor
TZS 2,000,000 / mwaka
- ✓“Masomo ya Kimachame yanaletwa kwako na ___” kwenye kila somo la lahaja hiyo
- ✓Nembo kwenye kitabu cha misemo (PDF) cha lahaja hiyo
- ✓Machapisho 4 kwenye WhatsApp Channel na mitandao
- ✓Ripoti ya robo mwaka: wanafunzi, misemo, rekodi
Mdhamini wa Sehemu · Section Sponsor
TZS 1,000,000 / mwaka
- ✓Nembo kwenye sehemu moja: Utamaduni, Vivutio au Jumuiya
- ✓Machapisho 2 kwa mwaka
- ✓Shukrani kwenye ukurasa wa Wadhamini
Mdhamini wa Tukio · Event Sponsor
kuanzia TZS 500,000
- ✓Bango na nembo kwenye Siku ya Kurekodi au jioni ya utamaduni
- ✓Kutajwa kwenye matangazo yote ya tukio
- ✓Nafasi ya kuongea / meza ya bidhaa
Kwa nini sasa
Hadhira halisi. Vikundi vya WhatsApp vya Wachagga vyenye maelfu ya wanachama, Dar, Moshi, Arusha na ughaibuni.
Maudhui ya kudumu. Misemo 312 ya Kivunjo tayari; lahaja nne kwenye njia. Kila somo linaishi kwa miaka.
Uwazi. Ripoti ya robo mwaka ya wanafunzi, rekodi na matumizi ya fedha kwa kila mdhamini.