Nyumba ya Wachagga

Utamaduni / Chakula

Mar̲uu na nyama — chakula kikuu

Ndizi na nyama: msingi wa mapishi ya Kichagga, na chanzo cha mtori na machalari.

Ndizi ni moyo wa kihamba cha Kichagga. Aina kadhaa zinalimwa: za kupika, za kutengeneza pombe, za kula mbivu.

Mtori ni supu laini ya ndizi za kupika na nyama ya ng'ombe, kijadi hupewa mama aliyejifungua. Machalari ni ndizi zilizopikwa na nyama; kiburu ni ndizi zilizopondwa na maharage. Ndafu ni mbuzi wa kuchoma wa sherehe.

Unajua zaidi kuhusu hili?

Ongeza masahihisho, hadithi ya familia yako, au rekodi ya mzee. Changia →